Tangaza biashara yako hapa kwa shillingi 5,000 kwa muda wa wiki 2 mfululizo Wasiliana nasi kwa namba 0753 840 270 au Whatsapp kwa 0712-107-042

Saturday, May 6, 2017

BREAKING NEWS, AJALI MBAYA YATOKEA TABATA RELINI

Usiku wa kuamkia leo, mida ya saa tisa, Dereva wa fuso aliligonga lori kwa nyuma  , nakusababisha vifo vya watu wawili papo hapo.





Ajali hii imetokea eneo la Tabata Mwananchi. Dereva wa lori ameumia na kukimbizwa hospitali ya Muhimbili.

Taarifa zinasema kwenye fuso kulikuwa na watu 3, wawili wamefariki dunia na mmoja (dereva) ndiye ameumia mguu, kapelekwa hospitali.









Tuzidi kuombea Taifa Letu.






1 comment:

  1. emperor casino | Shootercasino.com
    Join the excitement of the King Casino, our trusted brand for online gaming, and the chance to WIN big 카지노 in the biggest online jackpot party 메리트카지노 anywhere. 제왕카지노

    ReplyDelete