Tangaza biashara yako hapa kwa shillingi 5,000 kwa muda wa wiki 2 mfululizo Wasiliana nasi kwa namba 0753 840 270 au Whatsapp kwa 0712-107-042

Saturday, May 6, 2017

BREAKING NEWS: AJALI KUBWA YATOKEA ASUBUI

Shule ya Lucky Vicent Nursery and Primary school imejikuta ikiingia kwenye majonzi baada ya kuwapoteza baadhi ya wanafunzi na walimu waliokuwa safarini asubui ya leo.

Ajali hiyo imetokea Wilaya ya Karatu  kata ya Rhotia , inasemekana basi hilo lilikuwa na abiria 58, kati ya hao , wanafunzi 31 pamoja na walimu wao wamefariki papo hapo.




















Tuzidi kuombea Taifa Letu Mungu atulinde na Roho za Ajali

No comments:

Post a Comment