Tangaza biashara yako hapa kwa shillingi 5,000 kwa muda wa wiki 2 mfululizo Wasiliana nasi kwa namba 0753 840 270 au Whatsapp kwa 0712-107-042

Friday, September 2, 2016

KAMPUNI YA SAMSUNG IMESITISHA KUUZA SIMU YA SAMSUNG GALAXY NOTE 7

Kutokakana na Ripoti zilizotolewa na  nchi ya Korea kusini na Marekani kuwa simu ya aina ya Samsung Galaxy Note 7 zilikuwa zikilipuka wakati au baada ya kuweka kwenye chaji, Kampuni ya Samsung imeamua kusitishwa uuzwaji wa simu hiyo. 


Pia, mtu mmoja inasemekana anaishi nchini Marekani ameweka video mtandaoni akionesha Simu yake ya Samsung Galaxy Note 7 ikiwa imeungua baada ya kuweka kwenye chaji.


No comments:

Post a Comment