Jeshi la polisi lawatawanya kwa kufyatua risasi hewani na limewakamata watu zaidi ya watano wanaodaiwa kuwa wafuasi wa Prof. Ibrahim Lipumba baada ya kutaka kumzuia Kaimu mwenyekiti wa CUF Julius Mtatiro kuzungumza na waandishi wa habari katika ofisi za CUF Buguruni Leo.
No comments:
Post a Comment