MHESHIMIWA ALI BONGO AMETANGAZWA KUWA MSHINDI KATIKA UCHAGUZI NCHINI GABON
Wanachama wa tume ya Uchaguzi mkuu katika nchi ya Gabon wametangaza kuwa rais Ali Bongo, amehifadhi kiti chake cha urais baada ya kumshinda mpinzani wake Jean Ping.
Ushindi huo ni baada ya kumalizika kwa shughuli za upigaji kura, hapo siku ya Jumamosi.
No comments:
Post a Comment