Tangaza biashara yako hapa kwa shillingi 5,000 kwa muda wa wiki 2 mfululizo Wasiliana nasi kwa namba 0753 840 270 au Whatsapp kwa 0712-107-042

Saturday, September 16, 2017

BREAKING NEWS. NYUMBA YA ZITTO KABWE, YATEKETEA KWA MOTO

Nyumba ya Mbunge Kigoma Mjini Mhe Zitto Kabwe iliyopo Kibingo, Kata ya Mwandiga mjini Kigoma imeungua moto jioni ya leo ambapo mpaka sasa chanzo cha moto huo hakijafahamika







Taarifa hii imethibitishwa na Afisa habari wa chama cha ACT, Abdalla Khamis na kusema ni kweli tukio hilo limetokea lakini siyo katika nyumba ambayo aliyokuwa anaishi Zitto.
"Ni kweli nyumba ya Zitto imeungua moto jioni ya leo lakini siyo nyumba ambayo anaishi yeye binafsi, bali ni nyumba ambayo imejengwa katika kiwanja kimoja na nyumba anayoishi kwa sasa", amesema Abdalla.
  Bonyeza hapa.  Kupata matukio zaidi

No comments:

Post a Comment