mkazi wa kitongoji cha Upangwaji kijiji cha Dodoma-Isanga Wilaya ya Kilosa, amenusurika kifo baada ya kuchomwa mkuki mdomoni na kutokea shingoni
kijana huyo alikaa na mkuki huo kwa masaa sita kabla ya kufanyiwa upasuaji uliochukua lisaa limoja kuutoa.
Majeraha hayo yamemfanya kijana huyo ashindwe kuongea kutokana na maumivu makali baada ya kuathirika mfupa wa taya na kuchanika.

No comments:
Post a Comment