Kura za wabunge nchini Brazil zimemuondoa madarakani aliyekuwa Raisi wa Brazil DILMA ROUSSEFF.
Kati ya wabunge waliopiga kura Asilimia 61 wametaka aondolewe huku asilimia 21 wametaka abaki madarakani.
Dilma amekutwa na hatia ya udanganyifu wa bajeti katika nchi hiyo wakati wa kampeni zake za uchaguzi miaka miwili iliyopita.
No comments:
Post a Comment